Wizara ya afya.

MWONGOZO WA TAIFA WA HUDUMA ZA VVU NA UKIMWI KATIKA JAMII. - Dar es salaam. Mpango wa kuthibiti ukimwi Tanzania. 2017 - X.|66Pg.

tafiti za hivi karibuni katika mikoa mbalimbali ya Tanzania zimeonyesha viwango tofauti vya ushamiri wa VVU miongoni mwa makundi maalum kukiwaq na ushamiri zaidi kwa wanawake wanafanya biashara ya ngono na wajidungao na wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao maambukizi kwa makundi haya yako juu ya kiwango kwa wastani cha maambukizi ya kitaifa.


Athari za VVU na UKIMWI.|Kuzuia na kuthibiti maambukizi.|Msaada wa kisaikolojia na lishe.|Uzingatiaji wa lishe.

WC 503.