TY - BOOK AU - Kitengo cha Mipango ya Idadi ya Watu. TI - Tanzania: Idadi ya watu Afya ya Uzazi na Maendeleo: Idadi ya watu Afya ya Uzazi na Maendeleo AV - HA4697.T3.K58 2006 PY - 2006/// CY - Dar es Salaam PB - Kitengo cha Mipango ya Idadi ya Watu. KW - Tanzania -- Population -- Statistics.|Economic history.|Population N1 - Kitabu hiki kinahusu Idadi ya watu, Afya ya Uzazi na Maendeleo. Tangu Uhuru, Tanzania imefanya Sensa za watu mwaka 1967,1978,1998 na hivi karibuni SENSA ILIFANYIKA MWKA 2002. Pamoja na hayo , Tanzania imefanya, utafiti wa Hali ya Afya na Uzazi mwaka 1991-1992,1996 na 2004-2005; Ukafanyika pia uchunguzi wa hali ya Uzazi na Afya ya mtoto mwaka 1999. Sensa na tafiti hizo zinaweka misingi ya uelewa wetu wa hali ya kitaifa ya idadi ya watu. Hayo yote yametoa picha inaonyesha kwamba Tanzania inaendelea kuwa moja kati ya nchi zenye viwango vya hali ya juu vya ongezeko la idadi ya watu ulimwenguni. Tanzania Bara ilikuwa na watu wanaokadiriwa kuwa milioni 36 mwaka 2005 na ongezeko la idadi ya watu mwaka lilikuwa asilimia 2.9. Kwa kiwango hicho idadi ya watu itaongwzeka maradufu baada ya miaka 25 ER -