Maoni ya watu 2007 Watanzania watoa maoni yao kuhusu : ukuaji wa uchumi na upunguzaji wa umaskini wa kipato, hali yao ya maisha na ustawi wa jamii, na utawala bora na uwajibikaj
- Tanzania REPOA 2008
- Xvii|66 pg.
Kama zilivyo tafiti nyingi zinazochunguza maoni ya watu, hutafiti huu pia ulikusanya maoni ya watu kuhusu utendaji wa taasisi za umma na wadau mbalimbali.Ingawa jambo hili ni la muhimu, ni muhimu vile vile kubaini kwa utafiti na maoni ya watu zinazoweza kutoa matokeo tofauti na yale ya tafiti zilizozoeleka za kaya hadi kaya, kwani tafiti za maoni ya watu zina mipaka kuhusu aina ya maswali yanayoweza kutumiwa kwa ajili ya kukusanya takwimu za utafiti.
978-9987-615-29-2
Poverty.|Public welfare.|Tanzania.|Social condition.|Economic history.