Programu ya Maji an Usafi wa Mazingira

Mwongozo wa mafunzo kwa wawezeshaji jamii kuhusu maji, afya na usafi wa mazingira - Dar-es-Salaam AMREF 2012 - vii, 37p.

Kitabu hiki kinatoa mafunzo yanayolenga kuboresha ufahamu na stadi za kuelimisha jamii katika shughuli zinazohusiana na masuala ya maji, afya na usafi wa mazingira. Hapa washiriki watajifunza kuhusu uongozi wa mradi, uwezeshaji na mzunguko wa maisha ya mradi kwa ujumla

978-9987-23-127-0


Uongozi|Mwezeshaji jamii|Stadi za Mawasiliano bora|Mbinu shirikishi za kuondoa magonjwa|Maji safi na Mazingira|Mbinu za uhamasishaji na uwezeshaji|UKIMWI|Uandishi wa taarifa

WA670 .M73 2012